Read this in other languages.
| Beji | Jina | Jinsi ya kuipata |
|---|---|---|
![]() |
Heart On Your Sleeve | Iwapo umejibu chochote kwenye GitHub ukitumia emoji ya ❤️ (Bado iko Kwenye majaribio) |
![]() |
Open Sourcerer | Iwapo una PRs zilizo unganishwa katika hazina au repo nyingi za umma. (Bado iko Kwenye majaribio) |
![]() |
Starstruck | Iwapo una hazina au repo ambayo ina Nyota 16 au zaidi. |
![]() |
Quickdraw | Iwapo umefunga suala au ombi la kuchangia ndani ya dakika 5 za kufunguliwa. |
![]() |
Pair Extraordinaire | Iwapo umekuwa Coauthored mara mbili au zaidi kwenye muunganisho wa ombi la kuchangia. |
![]() |
Pull Shark | Iwapo una Ombi mbili la kuchangia zilizo unganishwa (au zaidi). |
![]() |
Galaxy Brain | Iwapo un majibu mbili yalio kubaliwa au zaidi. |
![]() |
YOLO | Unganisha angalau mojawapo ya ombi la kuchangia bila kuhakikisha msimbo au code. |
![]() |
Mdhamini wa Umma | Kudhamini kazi za chanzo wazi au open source kupitia. GitHub Sponsors. |
![]() |
Mars 2020 Contributor | Kuchangia msimbo kwenye hazina katika Mars 2020 Helicopter Mission. Kwa sasa mapato yake haipo |
![]() |
Arctic Code Vault Contributor | Kuchangia msimbo kwenye hazina katika 2020 GitHub Archive Program. Kwa sasa mapato yake haipo |
Baadhi ya mafanikio hayana toleo la msingi pekee, bali pia vyeo.
| Mafanikio | Chaguomsingi | Shaba | Fedha | Dhahabu |
|---|---|---|---|---|
| Starstruck | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Nyota 16 | Nyota 128 | Nyota 512 | Nyota 4096 @torvalds |
|
| Pair Extraordinaire | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| ombi la kuchangia 1 @gomzyakov |
ombi la kuchangia 10 | ombi la kuchangia 24 | ombi la kuchangia 48 @Rongronggg9 |
|
| Pull Shark | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| ombi la kuchangia 2 | ombi la kuchangia 16 | ombi la kuchangia 128 | ombi la kuchangia 1024 @ljharb |
|
| Galaxy Brain | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Majibu 2 | Majibu 8 | Majibu 16 | Majibu 32 @ljharb |
|
| Heart On Your Sleeve | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| ??? | ??? | ??? | ??? | |
| Open Sourcerer | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| ??? | ??? | ??? | ??? |
Mwonekano wa mafanikio mengine hutegemea mapendeleo yako ya rangi ya ngozi za emoji
Waweza kubadilisha rangi yako ya Ngozi unayopendelea kwa kwenda kwa: Mipangilio ya Muonekano.
| Badge | 👋 | 👋🏻 | 👋🏼 | 👋🏽 | 👋🏾 | 👋🏿 |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Starstruck | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Quickdraw | ![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Beji | Jina | jinsi ya kuifikia |
|---|---|---|
| Pro | Tumia GitHub Pro | |
| Majadiliano Yaliojibiwa | Jibu lako kwa mjadala liweke alama kama jibu | |
| Mshiriki Kwenye Programu Msanidi | Unafaa uwe mshiriki kwenye Programu ya Msanidi wa GitHub | |
| Mwindaji wa Tuzo ya Kasoro za Usalama | Saidiana kuwinda kasoro za usalama kwenye Usalama wa GitHub | |
| Mtaalamu wa Chuo kikuu ya Github | Shiriki katika Programu ya GitHub kwenye Chuo Kikuu | |
| Mikopo ya Mashauriano ya Usalama | Je, mawaidha yako ya usalama yaliyo wasilishwa kwa Hifadhidata ya Mawaidha ya GitHub kuwa imekubaliwa |
Ikiwa una maswali au mapendekezo juu ya jinsi ya kuboresha maelezo kwenye ukurasa huu, unaweza kuiandika kwa suala.